Nenda kwa yaliyomo

Louis Althusser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Althusser alivyochorwa.

Louis Pierre Althusser (matamshi ya Kifaransa: altyˈsɛʁ; 16 Oktoba 191822 Oktoba 1990) alikuwa mwanafalsafa wa itikadi za Kisoshalisti za Karl Marx kutoka nchi ya Ufaransa.

Alizaliwa nchini Algeria na kusoma katika chuo cha École Normale Supérieure kilichopo katika jiji la Paris lililopo nchini Ufaransa, ambapo hatimaye alikuwa mwanafalsafa.

Althusser alikuwa mwanachama wa muda mrefu wa Chama cha Kikomunisti cha Ufaransa, ingawa wakati mwingine alikuwa akipingana sana na siasa ya chama chake nchini Urafansa. Hoja zake kuu zilikuwa zikijengwa katika misingi ya kuhofia nadharia na misingi ya mfumo wa Umaksi, pamoja na kuhofia kutokea kwa mgawanyiko katika vyama vya siasa vya kikomunisti vya Ulaya.

Maisha ya Althusser yamekuwa yakihusishwa na matukio ya kusikitisha YAkiwa ni pamoja na kupatwa na matatizo ya akili, ambapo katika moja ya milipuko ya ugonjwa huo, Althusser alimuua mke wake kwa kumNyonga.

Bibliografia

Louis Althusser
Original works in English translation
Baadhi ya makala zilizo katika tafsiri

Masomo zaidi

  • Althusser: A Critical Reader (ed. Gregory Elliott).
  • Anderson, Perry, Considerations on Western Marxism
  • Callinicos, Alex, Althusser's Marxism (London: Pluto Press, 1976).
  • Elliott, Gregory, Althusser: The Detour of Theory by (New York: Verso, 1987); (republished by Haymarket Books, 2009)
  • Ferretter, Luke, "Louis Althusser" (London and New York: Routledge, 2006)
  • James, Susan, 'Louis Althusser' in Skinner, Q. (ed.) The Return of Grand Theory in the Human Sciences
  • Judt, Tony, "The Paris Strangler," in The New Republic, Vol. 210, No. 10, 7 Machi 1994, pp. 33–7.
  • Waters, Malcolm, Modern Sociological Theory, 1994, page 116.
  • Lewis, William, Louis Althusser and the Traditions of French Marxism. Lexington books, 2005. (link Ilihifadhiwa 28 Septemba 2011 kwenye Wayback Machine.)
  • McInerney, David (ed.), Althusser & Us, special issue of borderlands e-journal, Oktoba 2005. (link Ilihifadhiwa 22 Desemba 2011 kwenye Wayback Machine.)
  • Warren Montag, Louis Althusser, Palgrave-Macmillan, 2003.
  • Resch, Robert Paul. Althusser and the Renewal of Marxist Social Theory. Berkeley: University of California Press, c1992. (link)
  • Elisabeth Roudinesco, Philosophy in Turbulent Times: Canguilhem, Sartre, Foucault, Althusser, Deleuze, Derrida, Columbia University Press, New York, 2008.
  • Heartfield, James, The ‘Death of the Subject’ Explained, Sheffield Hallam UP, 2002 [1]
  • Lahtinen, Mikko, "Politics and Philosophy: Niccolò Machiavelli and Louis Althusser's Aleatory Materialism", Brill, 2009 (forthcoming in paperback via Haymarket, 2011).
  • Thomas, Peter D., "The Gramscian Moment: Philosophy, Hegemony and Marxism", Brill, 2009 (forthcoming in paperback via Haymarket, 2011).

Viunga vya nje

Tanbihi

  1. James Heartfield (1980-12-19). "Postmodernism and the 'Death of the Subject' by James Heartfield". Marxists.org. Iliwekwa mnamo 2011-06-18.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Althusser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.