Live ni albamu ya ukumbini ya msanii Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 23 Machi1999 na studio ya LaFace Records ikiwa imejumlisha vibao vyote mashuhuri vya Usher vya muda wote aliokuwa kwenye shughuli hizi za kimuziki. Tangu hapo ametunukiwa Dhahabu nchini Marekani, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 500,000.