Liamine Zeroual
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Liamine Zéroual (amezaliwa 3 Julai, 1941) alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 31 Januari, 1994, hadi 27 Aprili, 1999. Alifuatwa na Abdelaziz Bouteflika.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Liamine Zeroual kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |