Lango:Afrika/Je wajua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je, wajua...?[hariri chanzo]

Je, wajua...? kwa Mei 2012[hariri chanzo]

...kwamba Kisiwa cha Saanane ni hifadhi tarajiwa ambayo ina eneo la mita 0.5, na iko umbali wa kilometa 2 kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza, katika Ghuba ya Ziwa Victoria nchini Tanzania.