Lalago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lalango)


Kata ya Lalago
Nchi Tanzania
Mkoa Simiyu
Wilaya Maswa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 13,253

Lalago ni kata ya Wilaya ya Maswa katika Mkoa wa Simiyu, Tanzania, yenye postikodi namba 39307 [1].

Lalago ni kata yenye jumla ya vijiji vinne: Lalago nje, Lalago ufundi, Gula na Mwakidiga.

Kata hii imegawanywa na kuunda kata nyingine inayoitwa Mbaragane, hivyo katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 13,253 [2], wakati kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, ilikuwa na wakazi wapatao 23,391 waishio humo.[3]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 20.832 waishio humo. [4]

Shule za sekondari zilizopo kata hii ni: Mwagala sekondari na Lalago sekondari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 221
  3. Sensa ya 2012, Simiyu Region - Maswa District Council
  4. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-20. 
Kata za Wilaya ya Maswa - Mkoa wa Simiyu - Tanzania

Badi | Binza | Buchambi | Bugarama | Budekwa | Busangi | Busilili | Dakama | Ipililo | Isanga | Jija | Kadoto | Kulimi | Lalago | Malampaka | Masela | Mataba | Mbaragane | Mpindo | Mwabaratulu | Mwabayanda | Mwamanenge | Mwamashimba | Mwang'honoli | Nguliguli | Ng'wigwa | Nyabubinza | Nyalikungu | Sangamwalugesha | Senani | Seng'wa | Shanwa | Shishiyu | Sola | Sukuma | Zanzui


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.