Kubi Indi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kubi Chaza Indi ni mwanaharakati wa kimaendeleo na mfanyabiashara kutokea Zimbabwe. Chini ya jina lake la ubini, Kubi Chaza, alikuwa mwigizaji Uingereza, akitokea katika filamu ya "Live and Let Die" ya mwaka 1973 akiwa kamaa karani mauzo James Bond. Baada ya kurudi Zimbabwe, yeye na mumewe John Indi walianzisha kampuni ya kutengeneza bidhaa za urembo.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Indi ni mashuhuri kwenye maendeleo ya jamii, hasa mambo yanayodhuru wanawake, na i katibu muhtasi-mkuu wa umoja wa biashara ya wanawake wazawa wa Zimbabwe.

Indi ameendelea kufanya kazi za utengenezaji wa filamu, john kama muigizaji, lakini Kubi kwenye pande zote za kamera. 1989, alitengeneza I Am the Future, filamu kumuhusu mwanamke mdogo (iliyochezwa na Stella Chiweshe) ambaye alisafiri kwenda kwenye jiji kubwa kukimbia vita ya uhuru wa Zimbabwe iliyokuwepo vijijini. In 1993, alicheza eponymous heroine's modern neighbo kwenye Neria, Tsitsi Dangarembga's Hati ya filamu kuhusu ujane wa Zimbabwe. Filamu zote ziliongozwa na Godwin Mawuru, na Neria iliyoangaziwa na wimbo wa Oliver Mtukudzi.

Indi ni mwanachama wa umoja wa wanawake watengeneza filamu Zimbabwe.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kazi yakekama mdada manunuzi kwenye duka la Oh Cult Voodoo ilikuja pale alipokuwa UK, na alitakiwa acheze nafasi yake. Uhusika wake kama dada wa manunuzi hutumika na James Bond (played by Roger Moore)alipofuka bidhaa kwa ajili yake na kupiga big mister Bond alipo ondoka dukani.[2] Baada ya Zimbabwe kupata uhuru Indi na mume wake John walirudi nchini. Huko walianza kampuni ya bidhaa za urembo iliyoitwa Kubi Cosmetics. Kwasasa inajulikana saana Kusini mwa Afrika. Inatengeneza bidhaa ambazo ni maalumu kwa ngozi na nywele za kiafrika.[3]

Filamu zilizochaguliwa[hariri | hariri chanzo]

  • Toomorrow (film)|Toomorrow (1970) - Sylvana
  • Live and Let Die (film)|Live and Let Die (1973) - sales clerk (Oh Cult Voodoo Shop, 33 E 65th St, New York City, New York 10065)
  • Love Thy Neighbour (1973 film)|Love Thy Neighbour (1973) - first black girl
  • Royal Flash (film)|Royal Flash (1975) - Lucy
  • Neria (1993) - Connie (final film role)
  • Shaina (2020) - Rooster Gogo

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kubi Indi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.