Kipimanjia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kipimanjia
Kipimanjia koo-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Jenasi: Anthus Bechstein, 1805 (Vipimanjia)

Amaurocichla Sharpe, 1892 (kwa majaribio)

Spishi: Angalia katiba

Vipimanjia ni ndege wadogo wa jenasi Anthus katika familia ya Motacillidae. Jenasi Amaurocichla imewekwa hapa kwa majaribio tukingojea ufumbuzi wa hali yake ya uainishaji. Wana rangi za kamafleji: nyeupe au njano chini na kijivu au kahawia juu. Makucha yao ya nyuma ni marefu kuliko yale ya matikisa. Takriban spishi zote hupatikana ardhini. Hula wadudu hasa na mbegu pia. Tago lao ni kikombe cha manyasi ardhini na jike huyataga mayai 2-6.

[hariri] Spishi za Afrika

[hariri] Spishi za mabara mengine

[hariri] Picha

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine