Kaizari Titus
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Titus Flavius Vespasianus (30 Desemba, 39 – 13 Septemba, 81) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 24 Juni, 79 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Vespasian. Kabla hajawa Kaizari, alikuwa jemadari hodari; k.m. alivamia mji wa Yerusalemu mwaka wa 70 na kubomoa hekalu.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Titus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |