Kabla-ya Historia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kabla-ya-historia (kwa kigirki maneno προ = kabla na ιστορία = historia) ni neno linalotumika mara nyingi kuelezea kipindi kabla ya historia andishi kuanza. Paul Tournal mwanzoni alitunga neno “Pré-historique” katika kuelezea ugunduzi aliofanya katika mapango ya kusini wa Ufaransa, na lilitumika katika Ufaransa kuanzia miaka ya 1830 kelezea kipindi kabla ya maandishi, na baadaye kuingizwa katika Kiingereza na Daniel Wilson, mwaka 1851.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabla-ya Historia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.