John William Colenso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

John William Colenso (24 Januari, 1814 - 20 Juni, 1883) alikuwa askofu wa Kanisa Anglikana kutoka Uingereza aliyeishi na kufanya kazi nchini Afrika Kusini tangu 1853. Alichunguza na kuandika juu ya lugha ya Kizulu pamoja na maandiko ya kidini na vitabu vingi kuhusu maisha nchini Afrika Kusini.

[hariri] Angalia pia

[hariri] Marejeo

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John William Colenso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine