John Walker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Walker

John Ernest Walker (amezaliwa 7 Januari 1941) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza usanisi wa ATP. Mwaka wa 1997, pamoja na Paul Boyer na Jens Skou alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.