Jamila Abbas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jamila Abbas, ni mwanasayansi wa kompyuta, mhandisi wa programu za kompyuta, mfanyabiashara na mjasiriamali nchini Kenya.[1]Yeye ni mwanzilishi mwenza na Afisa mtendaji mkuu wa MFarm Kenya Limited, shirika linalojikita kwenye intaneti ambalo linawasaidia wakulima kupata zana bora zaidi za kilimo, mbegu, kuweza kupata ripoti za hali ya hewa na taarifa za soko.[2] Alishiriki kuanzisha mradi wa M-Farm mwaka 2010.[1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Jamila Jamila alizaliwa nchini Kenya na alisoma shule za eneo hilo kwa elimu yake ya kabla ya chuo kikuu. alihudhuria Chuo Kikuu cha Strathmore, kuhitimu kwa shahada ya sayansi katika Uhandisi wa programu.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamila Abbas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. 1.0 1.1 AGRA News (24 May 2018). "Jamila Abass: The queen of African Agritech Industry". Westlands, Nairobi: Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-08. Iliwekwa mnamo 8 May 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. NVO (5 February 2017). "Jamila Abbas, tech entrepreneur, to direct New Vision Foundation". New Vision Organization (NVO). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-26. Iliwekwa mnamo 20 December 2017.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Makeni, John (7 January 2011). "Girls who created social network for farmers". Daily Nation. Nairobi. Iliwekwa mnamo 20 December 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)