Igor Stravinsky
Mandhari
Igor Stravinsky (alizaliwa mjini Oranienbaum (sasa hivi inaitwa Lomonosov) tar. 17 Juni 1882 - mjini New York, 6 Aprili 1971) alikuwa miongoni mwa watunzi muhimu kabisa wa karne ya 20. Igor ni mtu wa kutoka nchini Urusi. Wakati Mapinduzi ya Urusi yanaanza yeye alihamia nchini Switzerland na kisha mjini Paris, na mwishowe, wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilipoanza mnamo mwaka wa 1939, akalekea tena nchini Marekani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Stravinsky ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Glass, Philip. 1999. "Igor Stravinsky" (Time Magazine profile)
- Hazlewood, Charles. [n.d.] Discovering Music - The Firebird
- Stravinsky and the Pianola
- Multimedia Web Site Ilihifadhiwa 22 Juni 2009 kwenye Wayback Machine. Keeping Score: Revolutions in Music: Stravinsky's Rite of Spring
- Stravinsky A to Z
- Simeone, Lisa, with Robert Craft and Philip Glass. Milestones of the Millennium (NPR show)
- van den Toorn, Pieter C. 1987. Stravinsky and the Rite of Spring
Baadhi ya rekodi zake
[hariri | hariri chanzo]- Piano works performed by Alberto Cobo:
- Piano works performed by Felipe Martins:
- Le Sacre Du Printemps Ilihifadhiwa 17 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine. Arr. for Piano Solo by Sam Raphling
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Igor Stravinsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |