Historia ya Brunei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Brunei inahusu eneo ambalo leo linaunda usultani wa Brunei.

Dola la Brunei lilistawi kuanzia mwaka 1368 hadi karne ya 17 likienea katika sehemu kubwa ya Borneo na hata visiwa vingine. Lilipokea Uislamu katika karne ya 15.

Baada ya kunyang'anywa maeneo mengi na Wazungu (Wahispania, Waholanzi na Waingereza), mwaka 1888 sultani aliomba ulinzi wa Uingereza ambao uliendelea hadi uhuru wa mwaka 1984.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Brunei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.