Ghana (Mbeya mjini)
Kata ya Ghana | |
Mahali pa Ghana katika Tanzania |
|
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89000°S 33.43000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mbeya |
Wilaya | Mbeya Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,844 |
Ghana ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 3,844 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,885 [2] walioishi humo.
Msimbo wa posta ni 53102.
Ghana ni mojawapo ya maeneo ya zamani katika mji wa Mbeya. Eneo hili lilipewa jina la "Ghana" baada ya nchi ya Ghana kupata uhuru wake mwaka 1957. Wananchi wengi wa mji wa Mbeya wa wakati huo walihamasika sana kusikia habari za uhuru wa koloni la kwanza la Afrika na kulipa jina lile sehemu hiyo. Sehemu hii ilikuwa kwa ajili ya wafanyakazi wenye kipato kwa wakati huo wa mkoloni.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-14.
Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania | ||
---|---|---|
Forest • Ghana • Iduda • Iganjo • Iganzo • Igawilo • Ilemi • Ilomba • Isanga • Isyesye • Itagano • Itende • Itezi • Itiji • Iwambi • Iyela • Iyunga • Iziwa • Kalobe • Maanga • Mabatini • Maendeleo • Majengo • Mbalizi Road • Mwakibete • Mwasanga • Mwasenkwa • Nonde • Nsalaga • Nsoho • Nzovwe • Ruanda • Sinde • Sisimba • Tembela • Uyole |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ghana (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |