Fuluwili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Fuluwili | ||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Fuluwili ni ndege wa jenasi Sarothrura, jenasi pekee ya familia Sarothruridae. Ndege hawa wanafanana na viluwiri lakini wana rangi kali zaidi. Wanawafanana kwa mwenendo pia.
Spishi zote zinatokea Afrika na Madagaska.
Spishi [hariri]
- Sarothrura affinis, Fuluwili Mkia-mwekundu (Striped Flufftail)
- Sarothrura ayresi, Fuluwili Mabawa-meupe (White-winged Flufftail)
- Sarothrura boehmi, Fuluwili Kidari-michirizi (Streaky-breasted Flufftail)
- Sarothrura elegans, Fuluwili Madoa-njano (Buff-spotted Flufftail)
- Sarothrura insularis, Fuluwili wa Madagaska (Madagascar Flufftail)
- Sarothrura lugens, Fuluwili Vidole-virefu (Chestnut-headed Flufftail)
- Sarothrura pulchra, Fuluwili Madoa-meupe (White-spotted Flufftail)
- Sarothrura rufa, Fuluwili Kidari-chekundu (Red-chested Flufftail)
- Sarothrura watersi, Fuluwili Domo-jembamba (Slender-billed Flufftail)