Edward Cummings
Edward Estlin Cummings (kwa kifupi E. E. Cummings; 14 Oktoba 1894 - 3 Septemba 1962) alikuwa mshairi na mwandishi mashuhuri kutoka Marekani. Kwa jumla aliandika na kuchapisha mashairi, riwaya na tamthilia mia tisa. Vile vile, Cummings alijulikana sana kama mchoraji wa picha kadhaa zilizovutia.
Mashairi ya Cummings yaligusia sana masuala ya mapenzi na mazingira - alipenda sana kuandika juu ya majira ya kuchipua. Mashairi yake yalipata umaarufu kwa sababu hayakuakifishwa kama ilivyo kawaida.
Watalaamu wengi wanaamini kuwa Cummings alikuwa mmojawapo wa washairi waliojulikana sana kule Marekani katika karne ya 20. Mashairi aliyoandika Cummings, na ambayo yanajulikana sana, ni kama: "In Just Spring", "A Man Who Had Fallen Amongst Thieves", "The Cambridge Ladies" na "Buffalo Bill".
Vitabu
[hariri | hariri chanzo]- The Enormous Room (1922)
- Tulips and Chimneys (1923)
- & (1925) (self-published)
- XLI Poems (1925)
- is 5 (1926)
- HIM (1927) (a play)
- ViVa (1931)
- CIOPW (1931) (art works)
- EIMI (1933) (Soviet travelogue)
- No Thanks (1935)
- Collected Poems (1938)
- 50 Poems (1940)
- 1 × 1 (1944)
- Santa Claus: A Morality (1946)
- XAIPE: Seventy-One Poems (1950)
- i—six nonlectures (1953) Harvard University Press
- Poems, 1923–1954 (1954)
- 95 Poems (1958)
- 73 Poems (1963) (posthumous)
- Fairy Tales (1965)
- Etcetera: The Unpublished Poems (1983)
- Complete Poems, 1904–1962, edited by George James Firmage, Liveright 2008
Baadhi ya tuzo alizopewa
[hariri | hariri chanzo]- Dial Award (1925)[1]
- Guggenheim Fellowship (1933)[2]
- Shelley Memorial Award for Poetry (1945)[3]
- Harriet Monroe Prize from Poetry magazine (1950)[4]
- Fellowship of American Academy of Poets (1950)[5]
- Guggenheim Fellowship (1951)[2]
- Charles Eliot Norton Professorship at Harvard (1952–1953)[5]
- Special citation from the National Book Award Committee for his Poems, 1923–1954 (1957)
- Bollingen Prize in Poetry (1958)[5]
- Boston Arts Festival Award (1957)
- Two-year Ford Foundation grant of $15,000 (1959)[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "E. E. Cummings". Poetry Foundation. Poetry Foundation. Aprili 19, 2018. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: others (link) - ↑ 2.0 2.1 "John Simon Guggenheim Foundation | E. E. Cummings".
- ↑ "Shelley Winners – Poetry Society of America". poetrysociety.org. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2018.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|website=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "POETRY AWARD IS MADE; E.E. Cummings Wins the 1950 Harriet Monroe Prize", The New York Times, June 11, 1950.
- ↑ 5.0 5.1 5.2 5.3 Cummings, E. E. (Februari 4, 2014). "E. E. Cummings". E. E. Cummings. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Works by E. E. Cummings katika Project Gutenberg
- E. E. Cummings, Lifelong Unitarian Biography of Cummings and his relationship with Unitarianism
- E.E. Cummings Personal Library at LibraryThing
- Papers of E. E. Cummings at the Houghton Library at Harvard University
- E. E. Cummings Collection Ilihifadhiwa 16 Mei 2008 kwenye Wayback Machine. at the Harry Ransom Center at the University of Texas at Austin
- Poems by E. E. Cummings at PoetryFoundation.org
- Jonathan Yardley, E. E. Cummings: A Biography, Sunday, October 17, 2004, Page BW02, The Washington Post Book Review
- SPRING:The Journal of the E. E. Cummings Society
- Modern American Poetry Ilihifadhiwa 28 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
- E. E. Cummings at Library of Congress Authorities – with 202 catalog records
- Biography and poems of E. E. Cummings at Poets.org
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Cummings kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |