Dickson Daudi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dickson Daudi Mbeikya
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 10 Aprili 1986
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Beki
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Dickson Daudi, (alizaliwa 10 Aprili, 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania ambaye anachezea klabu ya Mtibwa Sugar F.C ya Morogoro ( 2005 - 2023) kama beki .[1]

Pia ameshawahi kucheza katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania mnamo mwaka 2006 katika mashindano ya kombe la CECAFA huko Addis Ababa, Ethiopia.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Dickson Daudi (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dickson Daudi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.