Dehradun
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Dehradun | |
| Great Stupa katika Og Min Ogyen Mindroling Monastery katika Dehradun | |
| Mahali pa mji wa Dehradun katika Uhindi | |
| Anwani ya kijiografia: 30°19′N 78°3′E / 30.317°N 78.05°E | |
| Nchi | Uhindi |
|---|---|
| Jimbo | Uttarakhand |
| Wilaya | Dehradun |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 447,808 |
| Tovuti: dehradun.nic.in | |
Dehradun ni jina la mji mkuu wa jimbo la Uttarakhand katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 450,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 657 kutoka juu ya usawa wa bahari.
[hariri] Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
|
|||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dehradun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |