Bhubaneswar
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Bhubaneswar | |
| Lingaraj Temple katika Bhubaneswar | |
| Mahali pa mji wa Bhubaneswar katika Uhindi | |
| Anwani ya kijiografia: 20°16′N 85°50′E / 20.267°N 85.833°E | |
| Nchi | Uhindi |
|---|---|
| Jimbo | Orissa |
| Wilaya | Khurda |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 647,302 |
| Tovuti: bmc.gov.in | |
Bhubaneswar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Orissa katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 650,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 33 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
|
|||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bhubaneswar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |