Gandhinagar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Gandhinagar



Jiji la Gandhinagar
Jiji la Gandhinagar is located in Uhindi
Jiji la Gandhinagar
Jiji la Gandhinagar

Mahali pa mji wa Gandhinagar katika Uhindi

Majiranukta: 23°13′12″N 72°40′48″E / 23.22000°N 72.68000°E / 23.22000; 72.68000
Nchi Uhindi
Jimbo Gujarat
Wilaya Gandhinagar
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,195,891
Tovuti:  www.collectorgandhinagar.gujarat.gov.in
Mahali pa Gandhinagar katika Gujarat na Uhindi

Gandhinagar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Gujarat katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 81 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gandhinagar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.