Agartala
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Agartala | |
| Agartala mjini karibu Ujjayanta Palace | |
| Mahali pa mji wa Agartala katika Uhindi | |
| Anwani ya kijiografia: 23°30′N 91°12′E / 23.5°N 91.2°E | |
| Nchi | Uhindi |
|---|---|
| Jimbo | Tripura |
| Wilaya | Tripura Magharibi (West Tripura) |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 367,822 |
| Tovuti: agartalacity.nic.in | |
Agartala ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tripura katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao 370,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 16 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
|
|||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Agartala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |