Bhopal
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Bhopal | |
| National Law Institute katika Bhopal | |
| Mahali pa mji wa Bhopal katika Uhindi | |
| Anwani ya kijiografia: 23°15′N 77°25′E / 23.25°N 77.417°E | |
| Nchi | Uhindi |
|---|---|
| Jimbo | Madhya Pradesh |
| Wilaya | Bhopal |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 1,458,416 |
| Tovuti: www.bhopal.nic.in | |
Bhopal ni jina la mji mkuu wa jimbo la Madhya Pradesh katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 1.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 427 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
|
|||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bhopal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |