Aizawl
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Aizawl | |
| Mahali pa mji wa Aizawl katika Uhindi | |
| Anwani ya kijiografia: 23°25′N 92°25′E / 23.417°N 92.417°E | |
| Nchi | Uhindi |
|---|---|
| Jimbo | Mizoram |
| Wilaya | Aizawl |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 228,280 |
| Tovuti: aizawl.nic.in | |
Aizawl ni jina la mji mkuu wa jimbo la Mizoram katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 230,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1132 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
|
|||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aizawl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |