Chromi
Kutoka Wikipedia
| Chromi |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la Elementi | Chromi |
| Alama | Cr |
| Namba atomia | 24 |
| Mfululizo safu | Metali |
| Uzani atomia | 51.9961 |
| Valensi | 2, 8, 13, 1 |
| Densiti | 7.14 g/cm³ |
| Kiwango cha kuyeyuka | 2180 K (1907 °C) |
| Kiwango cha kuchemka | 2944 K (2671 °C) |
| Asilimia za ganda la dunia | 1,9 · 10−2 % |
| Hali maada | mango |
Chromi ni elementi na metali yenye namba atomia 24 na alama Cr katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali ngumu na bambaikaji yenye rangi kifedha-kijivu inayopatikana katika madini na kampaundi mbalimbali.
Hutumiwa sana katika aloi za feleji na kuongeza ugumu.
Madini za chromi huchimbwa hasa Afrika Kusini (50 % ya mahitaji yote ya dunia), halafu Kazakhstan (15,2 %), Uhindi (12,1 %), Zimbabwe (3,7 %) na Ufini (3 %).
| Makala hiyo kuhusu "Chromi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Chromi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

