Uzani atomia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uzani atomia ni neno la kueleza masi ya atomi ya elementi ya kikemia. Ni pamoja na masi ya protoni, nyutroni na elektroni ndani yake.
Kiwago rejea ni masi ya atomi ya Kaboni 12C.