Christine Nieves

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christine Nieves ni mratibu wa jamii na mwanaharakati wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Puerto Rico. Ndiye mwanzilishi wa taasisi Emerge Puerto Rico, ya maendeleo ya jamii.

Nieves anazingatia kujenga uthabiti wa jamii kabla na baada ya majanga ya mazingira, kama vile kimbunga Maria kilichotokea mnamo 2017 na mfululizo wa matetemeko ya ardhi huko Puerto Rico mnamo mwaka 2020.[1][2][3]

Shirika lake, ambalo hapo awali liliitwa Apoyo Mutuo Mariana, lilitoa chakula cha bure kwa jamii ya milimani ambayo iliathiriwa sana na dhoruba.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Crabapple, Molly (October 16, 2017). "How One Small Town In Puerto Rico Found Food And Community After Maria". BuzzFeed News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-08.  Check date values in: |date= (help)
  2. Firke, Sam (April 11, 2019). "What Can Kids Learn From Taking Action on Climate Change?" (kwa Kiingereza). TNTP. Iliwekwa mnamo 2020-01-08.  Check date values in: |date= (help)
  3. "'Sad, worried, inconsolable': Earthquake triggers anxiety in Puerto Rico, post-Hurricane Maria". NBC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-10. 
  4. "A Small Puerto Rico Town's Makeshift Relief Center". NPR.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-08. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christine Nieves kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.