Celebrity ni albamu ya tano na ya mwisho ya 'N Sync. Ilitolewa mnamo 24 Julai 2001. Albamu hii ilithibitishwa 5x platinum nchini Marekani na ilipata mauzo ya zaidi ya milioni 10 kote duniani. Albamu hii ilipata mauzo ya takriban milioni 1.9 kwenye wiki ya kwanza.[1]
RIAA ilithibitisha albamu hii Gold, Platinum na 5x Platinum mnamo 22 Agosti 2001 baada ya kuuza nakala milioni tano nchini Marekani.
"The Two of Us" (Chasez, Bradley Daymond, Alexander Greggs) – 3:52 Lead Vocals by JC Chasez and Justin TImberlake
"Gone" (Timberlake, Robson) – 4:54 Lead Vocals by Justin Timberlake
"Tell Me, Tell Me...Baby" (Max Martin, Rami Yacoub) – 3:39 Lead Vocals by Justin Timberlake and JC Chasez
"Up Against the Wall" (Chasez, Daymond, Greggs) – 3:37 Lead Vocals by JC Chasez and Justin Timberlake. Rap by JC Chasez, Justin Timberlake, Chris Kirkpartick, Joey Fatone and Lance Bass
"See Right Through You" (Larry Campbell, Robson, Timberlake) – 2:55 Lead Vocals by Justin Timberlake and JC Chasez
"Selfish" (Chasez, Veit Renn, Jolyon Skinner) – 4:21 Lead Vocals by Justin Timberlake and JC Chasez
"Just Don't Tell Me That" (Andreas Carlsson, Kristian Lundin, Jake Schulze) – 3:04 Lead Vocals by JC Chasez and Justin Timberlake
"Something like You" (Timberlake, Robin Wiley) – 4:15 Lead Vocals by Justin Timberlake and JC Chasez
"Do Your Thing" (James Moss) – 4:21 Lead Vocals by JC Chasez and Justin Timberlake. Rap by James Moss (guest)