Catholic Encyclopedia
Mandhari
Catholic Encyclopedia, au Old Catholic Encyclopedia au Original Catholic Encyclopedia, ni kamusi elezo ya Kiingereza kutoka Marekani ambayo inafafanua vidahizo kuhusu Kanisa Katoliki.
Gombo la kwanza lilitolewa mnamo Machi 1907. [1][2]. Toleo hili linapatikana bure katika intaneti kwa wasomaji wote.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Preface to the Catholic Encyclopedia
- ↑ "Scan of "Preface"". El Cajon, California: Catholic Answers. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-22. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2010.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikisource has original text related to this article: |
- Catholic Encyclopedia Ilihifadhiwa 20 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine. at Catholic.com
- Catholic Encyclopedia on New Advent
- Catholic Encyclopedia on Catholicity
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Catholic Encyclopedia kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |