Brian Armstrong (mfanyabiashara)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brian Armstrong mnamo 2018

Brian Armstrong (alizaliwa Januari 25, 1983) ni mfanyabiashara wa Marekani na mwekezaji ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa jukwaa la cryptocurrency. Alipata usikivu katika vyombo vya habari kwa sera yake ya kuweka mahali pa kazi bila harakati za kisiasa.[1][2]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Armstrong alizaliwa Januari 25, 1983, karibu na San Jose, California, wazazi wake wote wawili walikuwa wahandisi.[3] Alisoma katika Chuo Kikuu cha Rice huko Texas, na kupata shahada mbili katika uchumi na sayansi ya kompyuta mnamo 2005, na kufuatiwa na shahada ya uzamili katika sayansi ya kompyuta mnamo 2006.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Coinbase CEO discourages politics at work, offers generous severance to employees who want to quit". CNBC. September 30, 2020. Iliwekwa mnamo March 10, 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Taking a Stand Against Social Stances". The New York Times. September 30, 2020. Iliwekwa mnamo March 10, 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Bitcoin's Guardian Angel: Inside Coinbase Billionaire Brian Armstrong's Plan To Make Crypto Safe For All". Forbes. February 19, 2020. Iliwekwa mnamo March 10, 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Armstrong (mfanyabiashara) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.