Apoloni wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Apoloni wa Aleksandria (alifariki 250 hivi) alikuwa padri aliyeuawa Aleksandria, Misri kwa ajili ya imani yake[1] (pengine inasemekana pamoja na wenzake watano).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimshwa tarehe 10 Aprili[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.