Air Tanzania
Mandhari
| ||||
Kimeanzishwa | 1977 | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu | Julius Nyerere International Airport | |||
Ndege zake | 3 | |||
Shabaha | ||||
Nembo | Wings of Kilimanjaro | |||
Kampuni mama | Serikali ya Tanzania | |||
Makao makuu | Dar es Salaam, Tanzania | |||
Watu wakuu | David Mattaka (MD), (CEO) | |||
Tovuti | http://www.airtanzania.com |
Air Tanzania ni kampuni ya ndege ya taifa la Tanzania.
Shirika la Ndege la Tanzania linahudumia vituo kumi na tatu - kumi na viwili ndani ya nchi na kimoja cha kimataifa.
Dar es Salaam hutumika kama kiungio cha safari za anga kati ya viwanja vya ndege vya Entebbe, Hahaya, Johannesburg, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara, Zanzibar, n.k.
Hivyo ndege zote za Air Tanzania hutua Dar es Salaam na zinafungwa huko.
Pichɑ
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- tovuti rasmi ya kampuni ya Air Tanzania
- Picha za ndege za Air Tanzania
- Uhakiki ulioandikwa kuhusu Air Tanzania Archived 26 Juni 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Air Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |