Ziwa Kazuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ziwa Kazuni
Muonekano wa hifadhi ya Vwaza Marsh ambamo Ziwa Kazuni lipo ndani yake
Muonekano wa hifadhi ya Vwaza Marsh ambamo Ziwa Kazuni lipo ndani yake
Mahali 11°08′00″S 33°40′00″E / 11.1333°S 33.6667°E / -11.1333; 33.6667Coordinates: 11°08′00″S 33°40′00″E / 11.1333°S 33.6667°E / -11.1333; 33.6667
Nchi zinazopakana Malawi

Ziwa Kazuni ni ziwa la Malawi. Linapatikana katika hifadhi ya wanyama ya Vwaza Marsh.

Kambi ya safari Kazuni ni sehemu muhimu ya malazi karibu na ziwa. Ziwa hilo linatunza idadi kubwa ya viboko.

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kazuni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.