Ziwa ni neno la Kiswahili ambalo linaweza kumaanisha:
Ziwa (kiungo katika mwili wa binadamu) – Ni sehemu ya kiungo cha mwanadamu kilichopo kifuani. Kiungo hiki hutumika kwa wanawake kumnyonyeshea maziwa mtoto.
Ziwa (mkusanyiko wa maji) – Neno ziwa jina ambalo humaanisha mkusanyiko mkubwa wa maji mahali pamaoja katika eneo kubwa yanayotokana na mito mbalimbali ambayo humwaga maji yake humo.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.