Ziwa (maana)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ziwa(Maana))
Ziwa ni neno la Kiswahili ambalo linaweza kumaanisha:
- Ziwa (kiungo katika mwili wa binadamu) – Ni sehemu ya kiungo cha mwanadamu kilichopo kifuani. Kiungo hiki hutumika kwa wanawake kumnyonyeshea maziwa mtoto.
- Ziwa (mkusanyiko wa maji) – Neno ziwa jina ambalo humaanisha mkusanyiko mkubwa wa maji mahali pamaoja katika eneo kubwa yanayotokana na mito mbalimbali ambayo humwaga maji yake humo.