Zig na Sharko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zig na Sharko ni filamu ya katuni kutoka Ufaransa (2010) ambayo inahusu mbwa ambaye jina lake ni Zig akitamani kumla samaki mtu lakini kuna papa ambaye anamlinda samaki mtu huyu asiliwe na papa ila Zig anakutana na konokono ambaye atamsaidia kumpa mawazo ya jinsi ya kumkamata ili amle samaki mtu huyu. lakini mwisho wa siku papa anatokea na kwenda kumsaidia ili asiliwe na Zig na siku zxote huwa anafika kwa kati na kwenda kumsaidia kabla hajaliwa na Zig.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zig na Sharko kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.