Zeze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watu wa kabila la Gogo wakiimba na kupiga Zeze

Zeze ni ala ya muziki ya Afrika Kusini kwa Sahara.

Inaundwa na ngozi juu ya tungi la kitoma au ubao ulio bapa na shingo ndefu yenye nyuzi kadhaa kama za gitaa. Hupigwa kwa kuchezesha nyuzi hizo kwa kuzipiga au kuzicharaza ili kutoa sauti.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zeze kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.