Zahir Howaida
Mandhari
Zahir Howaida (Kidari/Pashto: ظاهر هویدا) (pia hutamkwa kama Zahir Huwaida; 28 February 1946 - Machi 2012) alikuwa mwanamuziki maarufu nchini Afghanistan.[1][2][3] Alianza kuvuma tangu miaka ya 1960 pamoja na nyimbo zake zilizokuwa maarufu kwa jina la "Bareek-e-Man"na "Shanidam Az Anja Safar Mikoni". Howaida alisifika kwa sauti yake ya ndani(asili) na ya kupendeza.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ afghans.com.au http://afghans.com.au/?p=522. Iliwekwa mnamo 2022-03-23.
{{cite web}}
: Missing or empty|title=
(help) - ↑ "خاکسپاری ظاهر هویدا در آلمان". BBC News فارسی (kwa Kiajemi). 2012-03-09. Iliwekwa mnamo 2022-03-23.
- ↑ http://www.dw.de/dw/article/0,,6404311,00.html
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-24. Iliwekwa mnamo 2022-03-23.