Nenda kwa yaliyomo

Yuki Joseph Nakajima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuki Joseph Nakajima (中島 佑気 ジョセフ, Nakajima Yuki Joseph,alizaliwa 30 Machi 2002) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 400. Alishiriki katika mbio za mita 400 kwenye mashindano ya riadha ya dunia ya mwaka 2023, ambapo alifuzu nusu fainali.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuki Joseph Nakajima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.