Youssef Alimam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Youssef Alimam (amezaliwa 8 Februari 1991) ni mtengenezaji wa filamu wa kujitegemea wa Misri. Amesomea Misri na Kanada, na anazungumza Kiarabu na Kiingereza. Kwa kawaida sasa anagawa wakati wake kati ya Kairo, Misri na Quebec, Kanada.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youssef Alimam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.