Nenda kwa yaliyomo

Young Kikuyu Association

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Young Kikuyu Association (kwa Kiswahili: Chama cha Wakikuyu Vijana) ilikuwa moja ya vyama vilivyoundwa nchini Kenya. Iliundwa mnamo Juni 1921 na Harry Thuku.

Malengo ya kuundwa

[hariri | hariri chanzo]
  1. kupinga mfumo wa kipande
  2. kutaka Waafrika wajiongoze
  3. kutaka Waafrika wasomeshwe
  4. kutaka mashamba yao yarejeshwe
  5. kutaka ushuru wa kibanda utupiliwe mbali

Yaliyotimizwa

[hariri | hariri chanzo]
  • Iliunganisha jamii ya Wakikuyu
  • Watu walifunzwa kuhusu uongozi
  • Ilifunza watu kuhusu umuhimu wao
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Young Kikuyu Association kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.