Nenda kwa yaliyomo

Youcef Atal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Youcef Atal
Youcef Atal
RC Lens - OGC Nice (10-04-2022) 24 (cropped).jpg
Atal na Nice mwaka 2022
Maelezo binafsi
‡ National team caps and goals correct as of 23:32, 19 Novemba 2022 (UTC)

Youcef Atal (alizaliwa 17 Mei 1996) ni mchezaji wa soka wa kitaalam wa Algeria anayesakata kazi klabu ya Ligue 1, Nice, na timu ya taifa ya Algeria. Anacheza kama beki wa kulia, lakini pia anaweza kucheza kama mshambuliaji wa pembeni kushoto.

Atal alihamia klabu ya Ufaransa ya Nice kutoka Paradou AC mnamo 2018. Alifanyiwa upasuaji wa goti mnamo Desemba 2019.[2]

Tarehe 1 Juni 2017, Atal alikutwa na timu ya taifa ya Algeria kwa mara ya kwanza kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Guinea na mechi ya kufuzu ya Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Togo.[3]

Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]
As of mechi ilichezwa tarehe 19 Novemba 2022[4]
Maonyesho na mabao ya timu ya taifa kwa mwaka
Timu ya taifa Mwaka Mechi Mabao
Algeria 2017 4 0
2018 2 1
2019 12 0
2021 4 0
2022 7 1
Jumla 29 2
Matokeo na mabao yamorodheshwa kwa kufuatia mabao ya Algeria kwanza.[4]
Mabao ya kimataifa kwa tarehe, uwanja, nafasi, mpinzani, alama, matokeo na mashindano
No. Tarehe Uwanja Nafasi Mpinzani Alama Matokeo Mashindano Ref.
1 18 Nov

emba 2018 || Stade Municipal, Lomé, Togo || align=center | 6 ||  Togo || align=center | 2–0 || align=center | 4–1 || Kufuzu kwa 2019 Africa Cup of Nations || align=center | [5]

2 27 Septemba 2022 Uwanja wa Olimpiki, Oram, Algeria 28  Nigeria 2–1 2–1 Kirafiki [6]

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Paradou AC

Nice

Algeria

  1. "Youcef Atal". OGC Nice. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2022.
  2. "Youcef Atal: Algeria international to have knee surgery". BBC Sport. 8 Desemba 2019.
  3. M-A-D (1 Juni 2017). "EN : 25 joueurs convoqués par Alcaraz, beaucoup de nouveautés". DZfoot (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 1 Juni 2017.
  4. 4.0 4.1 Kigezo:NFT
  5. "Afcon 2019: Mahrez brace helps Algeria qualify for Nations Cup". BBC Sport. 18 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2021.
  6. "Algeria vs. Nigeria - Football Match Summary". ESPN. 27 Septemba 2022. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2022.
  7. "Ludovic Blas penalty wins French Cup for Nantes". BBC Sport (kwa Kiingereza). 7 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 11 Septemba 2022.
  8. Rose, Gary (19 Julai 2019). "Senegal 0–1 Algeria". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2021.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youcef Atal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.