Yenisey
Mandhari
(Elekezwa kutoka Yenisei (mto))
Chanzo | Mto Ka-Hem, Urusi |
Mdomo | Bahari ya Kara |
Nchi | Urusi |
Urefu | 3,487 km |
Kimo cha chanzo | 650 m |
Mkondo | 19,800 m³/s |
Eneo la beseni | 2,580,000 km² |
Miji mikubwa kando lake | Kyzyl, Abakan, Krasnoyarsk, Lesosibirsk, Yeniseysk, Igarka, Dudinka |
Yenisey au Yenisei (Kirusi: Енисей) ni mto mrefu wa Siberia, Urusi. Urefu wake ni 3487 km. Iko katika mkoa wa Tuva, Krasnoyarsk Krai na Hakasia.