Nenda kwa yaliyomo

Yazmeen Jamieson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamieson akiwa na Jamaica mwaka 2019

Yazmeen Alexis Jamieson (amezaliwa 17 Machi 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza kama kipa katika klabu ya KFF Vllaznia Shkodër inayoshiriki Mashindano ya Kitaifa ya Wanawake Albania.

Alizaliwa Kanada, lakini anawakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Jamaica.[1]

  1. Armstrong, Laura (Novemba 16, 2018). "Toronto's Jamieson inspires next generation of women's soccer players in Jamaica". Toronto Star.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yazmeen Jamieson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.