Yasmin Said

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yasmin Said
Amezaliwa2000 (miaka 20)
UraiaMkenya
ElimuShule ya wasichana ya Ribe
Anajulikana kwa ajili yaMaria
NyumbaniNairobi, Kenya
TuzoMuigizaji bora wa kike

Yasmin Said [1](alizaliwa Nairobi, 2000) ni mwigizaji wa Kenya ambaye alipata tuzo ya mwigizaji bora wa kike iliyoandaliwa na Kalasha Awards katika mwaka wa 2020. [2]


Tuzo na uteuzi[hariri | hariri chanzo]

Yasmin Said alishinda tuzo ya Mwigizaji Bora wa kike kwenye tamthiliya ya runinga kwenye tuzo za Kalasha mnamo 2020.

Filamu alizocheza[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Kichwa Wajibu
2019-2021 Maria Maria
2020 Nakulove Mhalaki

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Louis (2020-01-10). Yasmin Said Biography, Age, Maria Citizen TV, Boyfriend, Facts (en-US). RALINGO. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-06-29. Iliwekwa mnamo 2022-03-29.
  2. Otengo (2020-12-13). Yasmin Said, Rashid Abdalla, Sarah Hassan among big winners at Kalasha Awards (en). Tuko.co.ke - Kenya news.. Iliwekwa mnamo 2021-03-12.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yasmin Said kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.