Yakubu Alfa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yakubu Alfa (alizaliwa 31 Desemba 1990 huko Minna) ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria anayechezea klabu ya Niger Tornadoes F.C. Ambapo Anacheza kama kiungo wa kati mwenye uwezo wa kufunga na kusaidia.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alfa alihama tarehe 8 Januari 2009 kutoka klabu ya Niger Tornadoes F.C. na kwenda klabu ya Helsingborgs IF. Baada ya mwaka mmoja ambapo alipata mechi mbili za kulipwa katika klabu yake ya Uswidi ya Helsingborgs IF, pia mkataba wake uliuzwa na klabu ya Skoda Xanthi tarehe 31 Januari 2010. [1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Yakubu aliwakilisha nchi yake katika Kombe la Dunia la FIFA la U-17 la 2007 katika Jamhuri ya Korea, alishinda pia akiwa na klabu ya Nigeria U-17 *Golden Eagles* Kombe la Dunia la 2007. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Blogger". xanthireds.blogspot.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-05-14. 
  2. "FIFA-Turniere Spieler & Trainer - Yakubu ALFA". FIFA.com (kwa de-DE). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 April 2008. Iliwekwa mnamo 2018-05-14.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yakubu Alfa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.