Xanten

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Xanten

Nembo
Xanten is located in Ujerumani
Xanten
Xanten

Mahali pa mji wa Xanten katika Ujerumani

Majiranukta: 51°40′0″N 6°27′0″E / 51.66667°N 6.45000°E / 51.66667; 6.45000
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 21,536
Tovuti:  www.xanten.de
Xanten ya Dola la Roma

Xanten ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 21,536. Mji ulianzishwa 12/13 KK.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Xanten kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.