Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jengo la wizara ya utamaduni na utalii nchini Uturuki mwaka 2019
Jengo la wizara ya utamaduni na utalii nchini Uturuki

Wizara ya Utamaduni na Utalii (Kituruki: Kültür ve Turizm Bakanlığı) ni wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inayohusika na masuala ya utamaduni na utalii nchini.


Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]