Nenda kwa yaliyomo

Willy Komen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Kiprop Komen (alifariki 22 Juni 2019) alikuwa mwanasiasa wa chama cha KANU, Kenya ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Rongai, mji wa Nakuru, na eneo bunge la zamani la Nakuru Magharibi.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Veteran Nakuru politician Willy Komen dies". Daily Nation. 18 Machi 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Mei 2020. Iliwekwa mnamo 24 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link)
  2. Mwende, Miriam. "Former MP dies after short illness", pulselive.co.ke, 24 June 2019.