Nenda kwa yaliyomo

William Wellington Gqoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Wellington Gqoba

William Wellington Gqoba (Agosti 1840 - 26 Aprili 1888) alikuwa mwalimu, mhubiri wa kanisa na mwandishi kutoka Afrika Kusini. Hasa aliandika kwa lugha ya Kixhosa. Kuanzia 1884 hadi kifo chake alihariri gazeti la Isigidimi samaXhosa.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Wellington Gqoba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.